Kuunganisha Wakulima Wasio na Ardhi Katika Mashamba Yenye Rutuba

7Q3A3656.JPG

Programu Inawezesha Upatikanaji wa Ardhi (ELA)

Mpango ya ELA inaunganisha watu ambawo hana mashamba wenye kihistoria katika kilimo, kwa ardhi yenye rutuba kwenye eneo hilo...na utaratibu wa kuondolewa kwa vikwazo vyote vya kuingia vilivyopo. Mpango huu jinsi unavyotumika ni kuwa wakulima wajitajie aina gani ya mbegu, umwagiliaji, na vifaa vinavyohitajika ili wafanikiwe na kupunguza gharama zao za kianzio hadi sufuri. Hii inaruhusu uwazi kwa kuruhusu mkulima kulima mazao muhimu ya kiutamaduni kupitia njia ambazo na mfumo ambawo wanauelewa zaidi wenyewe.

DJI_0020.jpg

Maeneo.

Kuna maeneo mengi ndani ya eneo la wilaya ya Linn ambayo yanasaidia juhudi za programu ya ELA. Kutoka shamba la ekari 3 lililopo katika Shamba la Dows, hadi maeneo ya kilimo ya miji kwa misingi ya makanisa na biashara za mitaa.

DJI_0373.JPG

Lengo la Katiba

Kwa wengi katika jamii yetu, kulima mboga imekuwa sehemu muhimu ya maisha. Kuilithi enzi za kale kutoka kizazi hadi kizazi, ujuzi wa mazao ya bidhaa ni muhimu kwa maisha, kuboresha afya na yenye furaha. Ukweli ambao upo ni kwamba watu wengi hawana nafsi ya kuwweza kupata ardhi, mbegu, zana na maji. Madhumuni la mpango wa ELA ni kuunganisha watu wenye shauku ya kilimo, ardhi na vifaa kwa masharti mepesi. Kuongezeka kwa idadi na utofauti wa wakulima na makabila mbarimbari, ni muhimu kwa mfumo wa kuimalisha kilimo mahiri na chakula, na tutaibeba jamii na nguvu zaidi za kuinuwa wilaya yetu.

20DED3B1-5E85-448D-BC0B-4B17D1C171EF.jpeg

Faida Muhimu.

Mpango wa programu wa ELA unaruhusu watu binafsi kulima kwa familia zao, jamii, na kwa faida zao. Ardhi kubwa imegeuzwa kutokuwa na kemikali kwa boresha mazao yasio na kemikali na zaidi kuongeza chakula cha kuwalisha wana wilaya ya Linn. Faida hii inamuhimu juu ya afya ya jumla ya jamii, uchumi na mazingira. Mazawo yote yanafirishwa chini ya kilometa 25 kutoka shamba hadi mezani, kupunguza uzalishaji wa elemeti mbaya, kuongeza upatikanaji wakati kuboresha uchumi wa ndani ya jimbo.

Fomu ya Maombi ELA Farmer

Programu inawezesha upatikanaji wa Ardhi (ELA) inawasaidia watu wanaotaka kulima lakini hawana ardhi au vifaa vya kulima ndani ya Wilaya ya Linn. Washiriki waliochaguliwa wanaweza kulima kwa kulipa pesa kidogo na asilimia ya mazao yao irudishwe kwenye program ya Feed Iowa Kwanza kwa ajili ya usambazaji na kuigawia jamii. Wakulima wanaweza kukua kuuza mazao kwa masoko ya ndani ili kukua tu kwa familia zao na jamii.

Wasiliana Nasi!

Tungependa kusikia kutoka kwako, tafadhali tutafute kwa maswali yoyote au tu kutusalimia :)

feediowafirst@feediowa1st.com
(319) 775-0149

1506 10th Street SE
Cedar Rapids, IA 52401

 

Msada wa Kuboresha Programu!